Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba usiku wa kuamkia leo akimkaribisha mshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, Mariaclara Mathayo katika Jumba la Vodacom ambalo litatumika katika kipindi chote cha warembo wakiwa kambini. Katikati ni Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandaaji wa Vodacom Miss Tanzania, Hashim Lundenga. Warembo hao wameingia katika Jumba hilo Dar es Salaam jana
 Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akimkaribisha mshiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, Cynthia Kimasha katika Jumba la Vodacom ambalo litatumika katika kipindi chote cha warembo wakiwa kambini. Katikati ni Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandaaji wa Vodacom Miss Tanzania, Hashim Lundenga. Warembo hao wameingia katika Jumba hilo rasmi  Dar es Salaam jana.

Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakicheza kwaito wakati wa tafrija maalum ya kuwakaribisha katika Jumba la Vodacom lililopo jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Jumla ya warembo 30 waliingia katika jumba hilo kwa kambi yao. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. LUNDENGA MIJIMACHO KODOKODO!!!!

    ReplyDelete
  2. Nimependa Mh. Lundenga anavyofanya assessment ya nguvu kwa Cynthia, i wish wote wangekuwa assessed hivyo.

    ReplyDelete
  3. Msimlaumu Lundenga
    This is like working in a candy factory
    I wish....any job offers there?

    ReplyDelete
  4. Hahahaha.. Baba macho hayo, macho!!

    ReplyDelete
  5. 'Michuzi- mwezi mtukufu'!

    David V

    ReplyDelete
  6. Kaka kwani Mwamvita ni MJAMZITO?
    Mbona kama kavaa TENITI?

    ReplyDelete
  7. jamani Uncle Lundenga swaumu ipo hapo kweli au kushinda na njaa?
    nimependa ulivyo mwangalia Cynthia

    ReplyDelete
  8. Yah hata mi nimeshangaa mwamvita kuvaa hivyo, maana ni mtu wa vi jeans, vi min skirt. sasa uvaaji wa leo kama katoka mbumbuli asb ya leo. au kwa vile ni mwezi mtukufu?

    ReplyDelete
  9. aluuuuuuu!!duh!!hawa wazee wanafaidi aisee maana hapo akili haimo kabisa.
    hapo kitu cha kuhonga penz ndo ushinde maana wote wazuri tu!!!

    david muni
    manchester

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...