Habari za leo Ankal Michuzi,
naomba unisaidi kunitangazia nimepotelewa na bahasha iliyokuwa na vyeti ndani ya daladala ya mwenge kwenda k'koo kupitia barabara ya sinza ndani kulikuwa na vyeti hivi leaving certificate ya form four na form six,cheti cha ukwata o'level na A' level, result slip,certificate of secondary education ya O'level,cheti cha kuzaliwa,na cheti cha computer, vyeti yote hivyo vinasomeka kwa jina la VENANCE LUSINDE...na kulikuwa na DVD ya sendoff iliyo andikwa Mariamu.vimepotea tar 24/8
kwa yoyote atakayepata nomba awasiliane nami kwa namba hizi
0787 514920
0655 514920
0659 437711
0716 072324
ahsante kwa ushirikiano wako .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...