Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Mbona simuoni Mwal Nyerere? Mwandishi umejulia wapi kuwa mwl yuko hapo wakati haonekani?

    ReplyDelete
  2. Somethings do not last so do human.WE dont live to eternity but WISDOM does.I truly appreciated the work of Mr president Mwalimu jk Nyerere.I have so much respect for you even if you gone.I remember, (my father who is an engineer in well known Ministry in TANZANIA gov),he was in a great sorrow,overwhelmed with sad news,when we learned the late Mwalimu Passed away in London.
    I certainly acknowledged MWALIMU as a savior to most of my parents age groups,who went to school for free,and a priceless freedom and peace Mwalimu acquired from colonials and other form of suppression.

    Though i wasnt born at times of Mwalimu,but he was the best president TANZANIA will ever have.Its sad how corrupted/corruptions,greedy and self centered individual have encompassed the country,derail to and not care about its people and the coming generations.

    Mwalimu provided free education to everybody,even our imminent leaders are the immediate recipient of MWALIMU free education policy.There are so much MWALIMU is to be thanked for.Its sad how our leaders have failed this country at large.Even more hurting when they cant give back a portion they had for free.NOw kila kitu is bussiness,uswahili,kujuana,ukabila.na udini kidogo.

    Its time for TANZANIA to wake up and claim for whats theirs.

    Rest in peace MWALIMU,WE MISSED YOU.

    KIDO Bongoland.

    ReplyDelete
  3. well said KIDO_bongoland .. he was a true leader ..much respect J.K.NYERERE

    ReplyDelete
  4. Wewe Anony wa kwanza unasma ujamuona Nyerere kwenye hii clip,sijui wapi uko na unatumia nini kusoma au kupata ujumbe huu ktk blog hii ya umma,kama ulitaraji picha ya mgando basi pole sana.
    Viongozi wetu wa siku hizi wanajali familia zao,marafiki na kujimilikisha maliza umma basi,hawawezi fikiria matatizo ya mtanzania hata siku moja,kuna tatizo la umeme,maji na mafuta na Mheshimiwa Rais hata kuzungumzia hakuna ila kila siku tunamuona kwenye luninga inakuwaje?hajui kinachoendelea au masikio yamezibwa?
    Nyerere wale vijana uligoma wasishike nchi sasa ndio macaptain basi meli yako imegonga mwamba mara nyingi na soo inakaribia kuzama kabisa tukumbuke kwenye sla zako na watokee hawa viongozi wabovu waliopo

    ReplyDelete
  5. wee, nani amesema udini kidogo? udini kwa sana

    ReplyDelete
  6. Kido you are right. But Ufisadi started during Mwalimu's time. Japokuwa yeye mwenyewe hakuwa mwizi wala fisadi na aliuchukia lakini baadhi ya watendaji wake ndio walioanza kuifikisha nchi hapa tulipo. laiti staili aliyoanza nayo mwalimu ingelikuwa na supporters wengi hasa kwa upande wa viongozi, tusingelikuwa hapa tulipo. Wangeweza waka "forecast" population change ili wajue mahitaji ya watanzania wa miaka iliyokuja na kuyafanyia kazi. ungekuta mpaka sasa hivi bado tunapata elimu bure.

    Binafsi nitamkumbuka mwalimu kwa utu aliokuwa nao na nia nzuri ya maendeleo kwa nchi yake. A few of us have got that talent.

    ReplyDelete
  7. Sorry, nilikuwa sijatambua hii ni u-tube. sasa nimeshamuona mwalimu . Kwa kweli alikuwa shujaa. siku hizi wameacha mapokezi ya ainaa hii?

    ReplyDelete
  8. Wadau, naamini mnakumbuka mwaka 2005 wakati CCM walipokutana Dodoma kumchagua/kumthibitisha mgombea wao wa Urais kwamba walialika vyama mbalimbali walivyoviita 'marafiki' zao, na kuna bwana mmoja aliwakilisha chama tawala cha DRC. Yule bwana alipagawa ile mbaya baada ya kumuona mama Maria Nyerere, na akakiri kuwa yeye alikuwa akifikiri Nyerere ni mtu wa kufikirika tu na si kweli aliwahi kuwepo, hivyo alithibitisha kuwa kweli Nyerere aliwahi kuwepo duniani baada ya kukutana na mama Maria. Wacha amkumbatie mama wa watu na kuomba mapicha kibao yapigwe ili akawathibitishie na wengine. Sijui ingekuwaje endapo angekutana na Nyerere mwenyewe, na endapo chama chao kingetambuliwa kuwa na 'urafiki' na CCM ya Nyerere.

    ReplyDelete
  9. Justice, Peace and People-Centred Development. Haki, Amani na Maendeleo ya Watu. Hii ndiyo falsafa ya Mwalimu Nyerere iliyolenga kusimamia utu wa watu katika Tanzania na Duniani kote. Binafsi naamini bila ya kuitekeleza kwa maneno na vitendo falsafa hii endelevu, ni vigumu sana kwa nchi yetu kuyafikia maendeleo ya kweli ya watu na ustawi wao. Fikra kama hizi Hazifi.

    Amani Millanga

    ReplyDelete
  10. Mbona viongozi wetu siku hizi wanatembelea Washington na hata huwaoni kwenye CNN japo kwa dakika? Na mbona hawapewi hata gwaride kama hili? Na hiyo Marines One (Helicopter) hakuna Kiongozi wa Africa ameshaipanda Zaidi ya Mwalimu na Rais wa sasa wa Ghana...Inaonyesha jinsi viongozi wa leo hii wasivyoheshimika na mataifa ya Magharibi...!!

    ReplyDelete
  11. Kumbuka hii ilikuwa ni 1960's. weusi kule kusini walikuwa wanagombania haki zao za kupiga kura na usawa. Segregation was at it high point. Na rahisi mweusi wa Afrika alialikwa White house. His vision for Tanzania and Africa ilikuwa kubwa sana, Mimi nakaa Marekani sasa na kusisitiza point ya anonymous wa 4;57 nimekutana na watu wazima toka Haiti, Cuba, New Guinea, India na sehemu nyingi za South America na nikiwaambia nimetoka Tanzania wanaanza kumuongelea Mwalimu kama ni mkombozi wao pia. Wanaelezea alivyo tembelea nchi zao. Wengi wao walikuwa universities or schools na walipewa off kwenda kumpokea.

    ReplyDelete
  12. Mzungu ni mtu anayeishi kwa kutumia akili. Kukupa ndege au gari lake ni kitu cha kawaida kama anapata kufaidika kwako. Marekani aliiona Tanganyika ni nchi ambayo angefaidika ndio maana kiongozi wake walimpokea vizuri. Hapa ukerewe wanafunzi wa Mashariki ya Kati wanapewa mpaka majibu ya mitihani. Wanafunzi wa kiafrika hawatakiwi hata kuonekana maana wanajulikana wakimaliza kusoma wanataka kubakia ukerewe.

    ReplyDelete
  13. inatia uchungu sana kumuona nyerere alivyojitahidi kujenga jamii ya watu huru, anasema struggle ya uhuru imekwisha lakini bila kujua miaka 40 ijayo nchi yake itakuwa chini ya mikono ya wakoloni weusi ambao ni wabaya kuliko wakoloni wa kizungu waliojenga mahospitali, mashule na mabarabara ya maana. nawatakieni heri ya IDDI.

    ReplyDelete
  14. Them days when we were respected for our stand.....sasa hivi tunamkumbatia ..Gadaffi. Shame on our leaders!!
    In Tz we do not suppport Tyrany be it black or white!!
    Nahisi kama JFK asingeuwawa tungechukua direction tofauti kabisa na ya kijamaa kifo chake kilimchanganya sana JKN hivyo akatafuta hifadhi mashariki akiwaogopa mabepari!!.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...