
UZOEFU WA KAZI ..................KUANZIA MIAKA 5
UJUZI WA UPISHI..............AWE NA UWEZO WAKUTOSHA IDARA ZOTE ZA JIKO
ELIMU ............................. KUANZIA CHETI NA KUENDELEA
KURIPOTI KAZINI.............. HARAKA IWEZEKANAVYO
UWAJIBIKAJI........... KUJITUMA NA KUWEZA KUFANYA KAZI MASAA MENGI
MSHAHARA.............MNONO SANA
MAHALI....................
ENEO LA KAZI...........HOTEL YA NYOTA 3
AINA YA BIASHARA YA CHAKULA.............A LA CATER NA LIVE BBQ
MALAZI ............ CHUMBA CHA CHEF KIPO, VINYWAJI NA CHAKULA BURE
MATIBABU............... BURE
UFANISI.................. AWE CHEF SHUPAVU NA MKALI HASA MWENYE
KUSIMAMAI NA KUTOA MAAMUZI MAZITO
KWA YEYOTE ATAKAYE PENDA KUTUMA MAOMBI TAFADHALI TUMIA BARUA PEPE HII
issakesu@gmail.com
NA UTAJIBIWA HARAKA SANA KUMBUKA KUAMBATANISHA CV
YAKO NA NAMBA YA SIMU YAKO.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...