Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka,
ReplyDeleteTangazo hili wanawatangazia "Wamatumbi" wenzetu au wadhungu?
Kama wamatumbi wenzetu kulikuwa kuna haja gani ya kuandika kidhungu?
Mbona hatujiamini? Halafu ndio tunasema tuhamasishe utalii wa ndani namna hii?
Wanaweza kupoteza hadhira kubwa tu ambayo ingehudhuria ila kwa sababu ya kuandika kidhungu wameshindwa kuelewa nini kinaendelea.
Sasa Wamatumbi wangapi watajua kwamba KWIZINEZ ndio maana yake VYAKULA jamani?
Tukomboke kifikra jamani, Khaah!