Kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU kinatarajiwa kuwadatisha
akili washabiki katika onyesho la Afrika Festival,mjini Tuttlingen,huko
Ujerumani ya kusini,Kamanda Ras Makunja atakiongoza kikosi chake
jukwaani siku ya jumamosi 27.08.2011 na kuhakikisha kuwa kikosi hiko
kinatoa burani kamili kwa washabiki.wasikilize zaidi at www.ngoma-africa.com
tafadhali usisahau ku log in at www.ngoma-africa.com
kamanda ras makunja na nduguzo ngoma afrika aka ffu au watoto wa mbwa,vichaa wetu mtarudi lini Finland? kwa kweli kazi yenu inakubalika na wengi jaribuni kila hali mje tena
ReplyDelete