Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa salamu zake za mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa baadhi ya watoto yatima aliowaalika ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimhudumia mmoja ya watoto yatima aliowaalika katika futari ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.Rais Kikwete jana jioni alifuturu na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi kwa baadhi ya watoto yatima alofuturu nao jana jioni ikulu jijini Dar es Salaam.(picha na Freddy Maro)


HAYA NI KATIKA MAMBO MUHIMU YANAFAA KUIGWA, KUJAALIWA NEEMA UKAWAKUMBUKA WANYONGE.
ReplyDeleteNINACHOWEZA KUSEMA MUNGU AWAZIDISHIE KHERI DUNIANI NA AKHERA.
KWA KUONGEZEA HUU NI MWEZI IMESHUSHWA QURAN - TUISOME KWA WINGI KWA KUIELEWA (IKIBIDI KISWAHILI) ILI TUZIDI KUFAIDIKA NA MUONGOZO WAKE.
Manshallah
ReplyDeleteMungu amzidishie
Wakatabahu
Safi sana JK kwa kuwakumbuka hao watoto..Mheshimiwa rais kuna watoto wengine kama hao wanarandaranda kwenye makutano ya bahadhi ya barabara za Daresalaam hasa pale "FAYA",Mnazimmoja..nk..Ni wadogo mno wa kike na wa kiume..wanaombaomba badala ya kuwa mashuleni..Tunaomba Wizara inayohusika kama imejisahau uikumbushe kufanya "maarifa' ya kuwapeleka kwenye vituo vya kulelea watoto,n.k.Michuzi usiibane hii,blog zinatusaidia sana kuwasiliana na rais/viongozi wetu sisi wengine ambao hatuna ndoto za kukutana nao ana kwa ana kutoa maoni yetu.
ReplyDeleteDavid V
Dah! So moving. This is really a man of the people.
ReplyDeleteMUUUUNGU IBARIKI, TANZANIA NA WATU WAKE.....,
ReplyDeleteMtu wa watu??? Ktk mwezi mtukufu tu.Sawa kama thawabu atapata lakini awasaidie kwa vitu maalum zaidi siyo kula futari ambayo ni kwa mwaka mara moja. Awape kitu ambacho kitapunguzia adha ya kuwa mitaani kama education, ambayo itawasaidi maishani mwao. Michuzi usibane hiii....
ReplyDeleteThis is so good Mr. President!!!
ReplyDeleteI'm so touched by this
ReplyDeleteHIYO HAITOSHI AFANYE JUHUDI NA KAHAKIKISHA HAO WATOTO MIAKA INAYOKUJA HAWATATEGEMEA TENA FUTARI YA FADHILA KWA KUWAPA VITU MUHIMU KAMA ELIMU. HAO WATOTO WAPO WENGI MITAANI
ReplyDelete