Assalam Alaykum,
Ndugu waislamu Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washngton DC Metro(TAMCO) unawakaribisha na kuwajulisha kuwa kama kawaida yetu kwa mwezi wa Ramadhani tunaendelea kufuturu pamoja jumammosi na jumapili zote za Mwezi wa Ramadhani .
Tunaombwa tuudhurie na tuwajulishe wengine wote:
SUN.08/07/11 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
SAT.08/13/11 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
SUN.08/14/11 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
SAT.08/20/11 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
SUN.08/21/11 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
SAT.08/27/11 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
SUN.08/28/11 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
Address:
Hillandale PAB - Hillandale Local Park:
10615 New Hampshire Avenue,
Silver Spring,
MD 20903
XXXXXXX
TAMCO EID DAY: SAT. 09/03/11 – Hillandale Local Park
Starting at 4.00PM
Wenu
Mwenyekiti
Iddi Sandaly
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...