Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ratiba yote Sijaona Yanga wala Simba kucheza ktk uwanja wa Chamazi sijui imepngwa vipi
    Mdau
    Kisiju pwani

    ReplyDelete
  2. Azam wenyewe walisema michezo yao inayo husu Simba na Yanga watachezea uwanja wa taifa nafikiri ni kutokana na uwanja wao kutoweza kumudu mashabiki wengi wanao jitokeza wakati wa michezo inayo ziusu Simba na Yanga.

    Mdau
    BUKOBA KAGERA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...