Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwafahamisha wateja wake wote wanaotumia mita za LUKU kuwa tangu jana mchana (29/08/2011) kumejitokeza matatizo ya kiufundi kwenye vituo vya uuzaji umeme. Matatizo haya yamesababisha mfumo mzima wa kuuzia LUKU kutofanya kazi.
Mafundi wa TANESCO walikuwa wanashughulikia tatizo hilo ili uuzaji umeme wa LUKU urejeshwe katika hali yake ya kawaida haraka iwezekanavyo..
Uongozi wa Shirika unaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
TANESCO MAKAO MAKUU



Too little too bloody late! You could've seen this before and ask for your customers' (which unfortunately is the whole bloody country!) mercy, that we bear with you at this period. Tungeelewa tu. Baada ya kudisrupt maisha ya watu ndo mnatoa kijistetimenti cha paragraph mbili na nusu? Talk about reactive PR. Try active dammit! You people never bloody learn kabisa...
ReplyDeleteNi lini Tanzania hususan TANESCO tutaweza kuwa na uhakika kwa kile tunachokifanya? Licha ya adha kubwa ya mgao wa umeme, bado pia mtu hawezi kununua umeme eti kwa sababu mtandao wa LUKU haufanyi kazi? Shame on us....kipi sasa tunachoweza kufanya na tukajisifu nacho kuwa tumeweza? Inasikitisha sana...
ReplyDeleteSasa, ina maana tatizo limetengemaa! na kama bado, tutegemee tatizo kutatuliwa lini/saa ngapi?
ReplyDeletewasenge nyie radhi sisi itatusaidia nini nachafua hali ya hewa nina hasira kwasababu hawa watu kila siku kila siku wao ni matatizo na hitilafu shenzi mno hamna hata break ya shida zenu
ReplyDeleteSenegal watu walifanya mzaha hivihivi kuchukulia poa watu na mgao wao wa giza, walifunzwa adabu... chezeeni shilingi chooni tu, tena choo chenyewe cha shimo! Useless company kabisa!
ReplyDeleteYaani siku binti yangu akiniambia anataka kuolewa na mfanyakazi wa TANESCO namfukuzilia mbali, nisimuone tena nyumbani na harusi yenyewe wala sitaitambua, na kila nikikutana na mume wake namtwanga magumi ya kwenye koo...!
ReplyDeleteMambo ni yale yale kila siku tatizo haliishi?ni miaka nenda na ni miaka rudi!Ama kweli hii ni THIRD WOLRD COUNTRY!Tanesco kama mmeshindwa biashara basi wapeni kampuni nyingine ili iendeshe hiyo biashara ya umeme, lakini msikae mnawatesa wananchi kila siku jamani!nayo Serikali haioni tatizo hilo?Yaani wamekaa kimya tu hawasemi chochote!Uchaguzi ukija lazima tuchague serikali mpya maana ccm imetuchosha matatizo yapo pale palekila siku!Ccm imekaa madarakani zaidi ya miaka 30 lakini hatuoni mabadiliko ya maana,Wanayekula nchi ni wachache tu,na wananchi wanazidi kuteseka!
ReplyDelete