Dear  Uncle  Michuzi
  I  would  like  to  comment on  the  story on your  blog  about  the  Tanzania slave  story.  It  so  sad  that these  kind  of things  still happen  in  this modern  time  and  age. But   before  we  point  fingers ,  I would  like  to  let  you  know  that  we  here residents in the  Uk  know   what  is  actually  happening   in  such  circumstances .   

This  is the  third  if  not  the  fourth  story   where  a  Tanzanian has  been held  against  her will. The  most  recent  story  here  in  the  uk  is  the  same  story   where  a  young  girl  was  brought  here  by  her  family  who was  doing   a PHD ,  but   when  she finished  her  course   and  it was  time  to  go   back  to  Tanzania  she went  to the  authorities saying  was  kept  as  a  slave. In all  these  cases  ,  these  victims  tend  to go to  the   authorities   when  its  time  for  their hosts  to  go back  to  Tanzania . 

When  they claim  slavery they  are  given a  status   and  a  free   house  here. What  a  coincidence?
 
There  is  a  Tanzania woman’s  action  group here  in  the UK   which  was helping  them  ,  but it looks  like it has  taken  a  step  back  because  one  ‘victim ‘  who actually lived  with  a  Tanzania  family   after  her  ‘freedom’   went  on  to  turn  their  lives  upside  down.That  family  almost went  to  prison  because  the  victim  claimed  they  are   not  feeding  her  well and  she  is  sharing  a  room   with  a  child of   owner  of  the   house.

It is  my  strong  view  that  these  ‘victims  are  brought  by  their   will   and  in  good  faith  to have  a  better life  while helping  out  with  the  host  family.  When  its  time  to  go  to  Tanzania ,  they  come  up with  these  stories.
 
I  know  and  believe  that Millions of men, women and children around the world are forced to lead lives as slaves. Although this exploitation is often not called slavery, the conditions are the same. People are sold like objects, forced to work for little or no pay and are at the mercy of their 'employers'.
 
Slavery exists today despite the fact that it is banned in most of the countries where it is practised. It is also prohibited by the 1948 Universal Declaration of Human Rights and the 1956 UN Supplementary Convention on the Abolition of Slavery, the Slave Trade and Institutions and Practices Similar to Slavery. What would  that  Tanzanian   slave  talk  about Women from eastern Europe who are bonded into prostitution, children are trafficked between West African countries and men are forced to work as slaves on Brazilian agricultural estates. 

Common characteristics distinguish slavery from other human rights violations. 
 A slave is:
forced to work -- through mental or physical threat;
owned or controlled by an 'employer', usually through mental or physical abuse or threatened abuse;
dehumanised, treated as a commodity or bought and sold as 'property';
physically constrained or has restrictions placed on his/her freedom of movement. I hope  she has  all these characteristics  ,  especially  when  she   could  ‘walk from  church to  home ‘  on  her  own
 
Should  we  stop  helping  our  own?
Thank  you
Diaspora  writer

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. I cant figured out what are you trying to make out your point,but simply The Tanzanians are pretending to be smarty on those stuffs,but people must understand that this lying games cost a lot of peoples life,we have a lot of educated Tanzania who sought Assylum through Somalian nation and lost their certificate,but now they are regretting after realized that the could have better life in Tanzania than being here working non skills labour and ends up on rents and bills.
    We have to wake up Tanzanian,our future determination is within our hands,lets study and work hard.lets not use stupid maneuver for living.
    Thanks
    Mdau mzalendo

    ReplyDelete
  2. Dear writer, thank you very much, kwa hili nakuunga mkono, mimi nimewahi kusoma na London na kuishi Themesmead alikokuwa akiishi dada yetu na kufanya kazi hizi ngumu, kwanza niwakumbushe watz kuwa hali hii ipo sana Uk kati ya familia za waingereza wenye asili ya na watz kwa watz, tena wengi wao wakiwachukua dugu zao kuwatunzia watoto wakati wao wakienda kozi au kupiga box, hali hii haitofautiani sana na wale wakazi wa dar-es-salaam kwenda kuchukua mabinti wa kazi mikoani, tofauti ya story hii ni dada kupata wenyeji na kukumbushwa kuwa alikuwa akifanya kazi kama mtumwa kinyume na sheria za uingereza na hivyo kujiwekea mazingira mazuri ya kuishi uingereza kama raia na kupata stahili zote, mwandishi niombe ufafanuzi kuhusu wale wadada wa kazi wanaochukuliwa kule mikoani kama iringa, singida, dodoma,mafia na kwingineko je hao sio watumwa?? Kwani zetu zinasemaje?

    ReplyDelete
  3. Umaskini na ulimbukeni utatuua watanzania. Hawa wasichana wa kazi ni wapuuzi sana. Sio kama wanateswa ila wanataka wabaki huko Ughaibuni. Tatizo lingine nadhani ni wanasheria wa kujitegemea, wanawapandikiza maneno ili na wao wapate hela za kujikimu........shame on them....Mimi nafanya kazi (sitotaja wapi) ila nimepokea malalamiko mengi kuhusiana na suala hili.

    ReplyDelete
  4. Tatizo wasaidizi wa kazi za ndani kazi zao hazijaainishwa na wala hawana chombo maalum cha kuwawakilisha. Wizara ya husika kama za mama na mtoto na utumishi zingehusika kutunga sheria za uajiri na kupinga ajira kwa watoto na kuweka kabisa wazi wafanyakazi za ndani wanatakiwa kulipwaje wakiwa nje na ndani ya nchi. Mzazi asiruhusu mtoto wake kwenda kufanya kazi na anayeomba kazi asikubali bila kusainishana mkataba aidha na mzazi/mjumbe wa nyumba kumikumi n.k. Wafanyakazi wa ndani haswa wa kike wanaonewa sana kuanzia kubakwa kufanyishwa kazi nyingi na ngumu, wakiume kama ni wadogo ndio wanabakwa na mwisho wanageuka/zwa kuwa makaka poa lazima watu waamke jamani!!!Ulaya hakuna wafanyakazi wa ndani kama wapo wanalipwa hela nyingi sana na kwa saa na wamesomea kazi zao na wana leseni/vyeti vya kuwa wafanya kazi za ndani au watunza watoto

    ReplyDelete
  5. HILI NI TATIZO, MCHANGO WANGU NI KUWA PAWE NA DIFFRENT TREATMENT MTUMISHI WA NDANI ANAPOKUWA HAPA TANZANIA NA PALE ANAPOPELEKWA NJE YA NCHI IWE ULAYA AU AFRIKA. KWA KUWA NI MTU MZIMA BASI ASHIRIKISHWE KIMAANDISHI KUWA AMEKUBALI NA HATABADILI MAKUBALIANO HAYO. WAAJIRI WAWEKE WAZI MAHUSIANO YAO TOKA PALE WANAPOTAFUTA VIBALI VYA KUWASAFIRISHA. MTU ASIYE NA ELIMU NA UELEWA WA KUTUSHA AWEZA KUTUMIWA VIBAYA WAKATI MWINGINE. UKWELI UNABAKI KUWA TUNAGAWA UMASIKINI WETU MWAJILI NA MWAJIRIWA TOFAUTI NI NDOGO SANA UKILINGANISHA NA MAISHA YA WENZETU, HIVI NA AJIRA WA WATUMISHI WA NDANI TUNAWEZA KUZIWEKA KWENYE AHADI YA JK YA MILIONI MOJA?

    ReplyDelete
  6. Sheria ni msumeno unakata pande zote mbili. UK kima cha chini ni £5.5 lakini sio lazima kufuata hiyo. Kuna vikampuni vingi vya watani wetu vya ulinzi havilipi hiyo, na siku ukitaka tu hicho kiwango wanakufukuza kazi. Ajabu ni kuwa hawakosi wafanyakazi maana kama huna makaratasi sasa hapa UK kazi hupati, sasa hawa jamaa wanakuwa na maringo na hupenda wanafunzi maana mwanafunzi mwisho masaa 20 kufanya kazi. Akimlipa mfanyakazi £4.5 kwa saa wakati yeye analipwa £15 kwa saa huwa anapata faida juu kwa juu. Sasa kuhusu mfanyakazi wa ndani, unaweza kumlipa pesa unayotaka. Lakini kwa kesi hii ni kuwa makubaliano yalikuwa £94 kwa mwezi ambazo pia hazikulipwa. Huyu bibi ni kuwa scholarship yake alikuwa atoe hiyo pesa maana ukiangalia watoto watatu halafu pia hampi huo mshahara wake ilikuwa ni kitendo cha kinyama. Hata kama kammwezesha kufika UK lakini raha za ughaibuni hakuwa akizipata. Kisheria kama angekuwa na ushahidi kuwa alikuwa anamlipa hiyo pesa waliokubaliana mwanzo pasingekuwa na tatizo. Watu wengi waliopata makaratasi hapa ughaibuni ni kuwa wamekuwa na tabia mbovu sana za unyonyaji na masimbulizi na wizi kwa wanaokuja wepya. Hii imekuwa kama ni duara. Kwa ufupi ni kwamba hayo mapicha mnayoyaona kwenye blog nyingi ni watu wa ughaibuni wanajaribu kuwarusha roho wenzao wanaojuana kuwa mambo yao yako safi kumbe sio kweli. Sheria za hapa kwa mama zinaruhusu watu wenye sifa fulani kuishi hapa. Kama unazo sifa kama hizo njoo uje kuishi lakini kama huna itabidi upitia hayo mambo ambayo wengi wa watu yamewakuta na wanataka kulipiza kwa wengine. Ramadhani njema.

    ReplyDelete
  7. Kuna vitu vingi ambavyo inabidi tuvizingatie hapa. Mwandishi amejaribu kutupa hali halisi ambayo ni kweli. Kuna watu ukikutana nao watakuomba uwatafutie kazi yeyote ile kwani wamekwama na hawana cha kufanya. Utawaeleza kazi yenyewe na utawapa hali halisi watakubali na kusema kuwa wapo tayari na kukushukuru.

    Tatizo ni kuwa wengine wakishaingia mjini ndo mambo hayo ya kujilipua yanaanza ni hatari tupu. Ukweli ni kwmba wengi wanaishi kama mbinguni ukilinganisha walipotoka na hali wanayoikuta wanapofanya kazi.

    Siungi mkono unyanyasaji lakini hali ya kugeuziana kibao ni mbaya sana siku hizi.

    ReplyDelete
  8. Kwanza mdau ungeandika vitu vyako kwa lugha ya kiswahili wengi wetu tungefurahi sana.

    Pili, huu utumikishaji wa watoto wadogo bila ya kuwalipa malipo yao sahihi upo kwa Watz wa hapa nchini na nje ya nchi. Tafauti ni kwamba nje ya nchi wanageuza kibao na kuwaambia wamekuwa watumwa. La kutafakari ni jee ni sahihi kumchukuwa binti na kumfanyisha kazi bila ya kumpa malipo, iwe Ulaya au hapa Tz?

    Ikiwa kweli unamhudumia na kumpa mshahara wake kama mulivyokubaliana, basi ungemfungulia account ukapitisha hayo malipo kwenye account yake. Siku ya siku likifumuka balaa unaonyesha uthibisho wako - simple.

    Dunia imebadilika siku hizi kwa vile watu wamekuwa wajanja na wanataka kutumia nafasi inayopatikana kwa ajili ya faida yao wenyewe bila ya kuangalia hasara anayowapatia wengine.

    ReplyDelete
  9. Bora mimi mungu alininusuru, nilikuwa nimeishamuombea visa binamu yangu aje kunisaidia kushika mtoto niendelee na shule kumbe mambo yenyewe ni haya? Yaani akishajua mji tu basi atapata walimu wamfundishe na mbinu za kubaki? Atadai chumba cha peke yake hawezi kushea na mimi au watoto wangu ambao naye ni sawa wake? Nilisikitika sana aliponyimwa visa nikasema nitaishije mie na kitoto kidogo na shule juu kumbe Mungu alinipangia yale aliyoyaona mema kwangu.

    Kwa sisi waafrika hasa Watanzania tulivyo mara nyingi kwa kutoka nje utamchukua tu ndugu yako ili angalau usaidie kupunguza umasikini kwenye familia. Unajua mtasaidizana kutatua matatizo madogo2 ya kwenu lakini siku hizi dunia imebadilika. Huyo mama anatakiwa approve hiyo claim yake kuwa huyo ni ndugu yake kama anavyodai na si mfanyakazi.

    Mwee nimekoma!

    ReplyDelete
  10. Sheria ni msumeno. Kama huna pesa usiajiri mtu akulelee watoto wako. UK wazazi wengi hawafanyi kazi maana hawawezi kumlipa mlezi. Serikali ya UK huwalipa raia zao kwa kulea watoto wao wenyewe. Sasa wewe mbongo serikali ya TZ haina uwezo wa kumlipa mtu asiye na kazi wala mzazi asiyemudu kumlipa mlezi wa watoto wake. Pia mtu kama huyu ambaye atakuwa Profesa karibuni kwanini hawezi kufuata sheria za nchi za watu. £94 angeweza kumlipa mlezi TZ na akalelewa watoto wake vizuri kabisa. Ukweli ni kuwa kwanza UK mlezi ni mtu alisomea hiyo kazi na ana cheti kutoka chuo kinachotambulika. Pili si ruhusa mtoto kumwacha pekee ndani ya nyumba. MTz ikienda hizi nchi za watu mambo ta kiTZ uachane nayo kabisa. Lakini namshauri huyu mama asijali sana maana kama hana pesa za kulipa hiyo faini afanye atumie sheria ya "Bankruptcy" lakini ndio itakuwa mwisho wake kuingia UK. Miaka ya zamani Zanzibar msichana wa kazi huwa halipwi anakuwa analelewa na yeye kama mtoto wa familia. Lakini ndugu zetu wa kibongo wana roho mbaya ya kuzaliwa sasa huwa wanawatesa hawa wasichana wa ndani hata kuwageuza nyumba ndogo. Zanzibar mlezi wako sawa na mzazi wako au kama umri wake mdogo basi huwa sasa na dada yako mzazi. Nafikiri wabongo waache hizi tabia chafu.

    ReplyDelete
  11. In the USA , there are also those who claim to be abused and beaten up by their husbands in order to stay! They get public housing, welfare and free job training! Ndo Kujanjaruka! At the same time, God Don't like Ugly! In the end things will catch up to the person who lied.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...