Makamu wa Rais wa Shirikisho la Basketball nchini (TBF) Phares Magesa (shoto) akipokea hati ya makubaliano ya msaada wa takribani US $ 15,000.00 kutoka kwa James Yates, Afisa wa Ubalozi wa Marekani, Dar Es Salaam. Fedha hizo ni sehemu ya msaada wa kudhamini mafunzo ya mpira wa kikapu yatakayondeshwa na nyota wa NBA na WNBA toka USA kuanzia tarehe 6-8 September, 2011 katika viwanja vya Don Bosco, Dar Es Salaam.

hii ndio inatakiwa sio kila siku mashindano tu kisa hela za tbl.
ReplyDelete