Naibu Waziri wa Kilimo chakula na ushirika Mhe Eng Christopher Chiza akikabidhi mkasi mara tu baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa maonnyesho ya kilimo nane nane nyanda za juu kusini mjini Mbeya
 Naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika akihutubia wananchi waliohudhuria sherehe hizo za ufunguzi wa nane nane jijini Mbeya
 Viongozi wengine wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo
 Wanafunzi wa shule mbali mbali nao wakiwa wanawahi maonesho ya nane nane yaliyo funguliwa rasmi hapo jana
 wauzaji wa vifaa vya computer wakiwa tayari kuwahudumia wateja wao wakati wa maonesho hayo

TTCL nao hawapo nyuma katika kutoa huduma uwanjani hapo na banda lao linaonekana likiwa limependeza

Moja ya watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania akitoa maelekezo kwa mkulima alietembelea banda la BOT. Picha zote na Mbeya Yetu Blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...