Wadau wa Jumuiya ya Watanzania waliomaliza katika chuo cha Kimataifa cha Kimarekani (USIU). Shoto ni Bw. Victor Philip na Kulia ni Bw. Novat Matoju wakiwa wenye furaha baada ya kukabidhiwa Nondozz zao.
  Shoto, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania katika chuo cha kimataifa cha Kimarekani (USIU); Nairobi, Kenya Bw. Glen Kapya akimpongeza Mwanajumuiya aliyekula Nondozz siku hiyo Bi. Diana Tegemea.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania katika Chuo cha Kimataifa cha Kimarekani (USIU); Nairobi, (Kenya): Kushoto Bw. Glen Kapya akimkabidhi Rev. Petro Mwawaya (Kulia), cheti cha utumishi bora ndani ya Jumuiya
  Bi. Martha Karua ambaye ametangaza nia yake ya Kugombea Urais wa Kenya naye alikua mmoja wa wanafunzi waliotunukiwa Nondozz (Global Executive Masters of Business Administartion-GEMBA) zao katika Chuo cha Kimataifa cha Marekani(USIU); Nairobi, Kenya. Hapa alikua akitoa risala kwa niaba ya Wanafunzi waliokula Nondozz mwaka huu wa 2011
Watanzania wapatao 25 wamekula Nondozz katika chuo cha Kimataifa cha Kimarekani(USIU) hapa Nairobi, Kenya. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...