Globu ya Jamii jana jioni imekuta mchezo wa mpira wa miguu ukichezwa kwa pamoja na wasichana na wavulana maeneo ya Chimwaga, pembezoni mwa barabara iendayo Chuo Kikuu cha Dodoma kuashiria kwamba mwamko wa kinadada kushiriki katika mchezo huu ni mkubwa mkoani Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mambo ya ughaibu tunayafuata taratibu. Je yanalingana na tamaduni zetu?

    ReplyDelete
  2. Safi sana ila sasa wangefaa bukta maana wengine wamevaa sketi sijui inakuwaje anavyopiga mpira au kudondoka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...