Wanahabari wa vyombo mbali mbali vya habari kutoka mikoa yote ya Tanzania bara wakiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi wa mafunzo ya siku tatu juu ya masuala ya sheria na haki za binadamu ,mafunzo yaliyoandaliwa na kituo cha sheria na haki za Binadamu kwa wanahabari hao zaidi ya 50 na kufanyika mjini Dodoma.
Picha na Francis Godwin.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...