Mchezaji wa timu ya Yanga, Tala ( kushoto ) akichuana na beki wa Moro United, Jaffar Gonga.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga, HAMIS KIIZA ( kulia) akijaribu kumtoka beki wa Moro United, Eric Mwala, katika mchezo wao wa ligi kuu uliochezwa jana kweye uwanja wa jamhuri wa Mjini Morogoro.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga , Godfrey Taita ( kati kati ) akijaribu kuwatoka mabeki wa Moro United. Katika mchezo huo, timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1.
Kikwete kwa nini usijenge huu uwanja wa Jamhuri Morogoro uwe kama ule wa Taifa Dar?
ReplyDelete