Ankal akiwa na rafiki yake wa miaka mingi Yvone Chaka Chaka walipogongana jijini New York ambako wote wanahudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa. Chaka Chaka ni Balozi wa kampeni ya kupambana na ugonjwa wa malaria ya Roll Back Malaria na hivi sasa amejikita pia katika harakati za kumkomboa mwanamke katika majanga ya magonjwa na unyanyasaji wa kijinsia.
Home
Unlabelled
ankal benet na yvone Chaka Chaka jijini New York
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
konozzzz
ReplyDeleteMdau J
Ankal bado kidogo uweke konos halafu ukashtuka , pole sana
ReplyDeleteEH!ANKAL ...RAFIKI YAKO WA MIAKA MINGI?!!!
ReplyDeletechonde chonde ankalllllllll
ReplyDeleteAnkal naona anataka kupiga konozzzzzzzzzzzz,lakini anaanza kwa mbaaaaaali.Yaani anatest zali.
ReplyDeleteMkulima-Kijijini Gezaulole.