Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha,Leonard Paul akionyesha silaha aina ya SMG ambayo waliwakutwa nayo majambazi ambao waliuwawa wakati wakitupiana risasi na askali Polisi katika eneo la monduli,Mkoani Arusha.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha,Leonard Paul akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) sehemu ambapo risasi ilipenya na kumpiga askari ambaye alikuwa kwenye gari hilo.
Askari Polisi mwenye Namba F6004,PC Prosper aliyejeruliwa akiwa amelazwa katika hospitali ya kanisa ya Seliani akipatiwa matibabu mara baada ya kupigwa risasi za mapajani na majambazi wakati wakiwa kwenye mapambano na majambazi hao.Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii,Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. pole sana afande; hope jashi la polisi litakujari vyema.

    ReplyDelete
  2. pole sana afande, ndio kazi hiyo. binafsi natoa shukran kwa jeshi la polisi kwa kupamabana kwa hali zote na hao majambazi..tupo nawe katka kukuombea upone haraka ili urejee katika ujenzi wa taifa. mi nadhani popote akionekana jambazi auwawe tu...hebu one msingewawahi si wangekuua...mkiwapata ueni tu ndo dawa yao, maana mahakamani wanaweza kushinda, si wajua sheria ilivyo.MAJAMBAZI UENI.VIBAKA MAHAKAMANI

    ReplyDelete
  3. Hawa ndo wanajeshi shupavu katika nchi... tunakushukuru sana kwa yale yote uliyofanya, kuweka maisha yako rehani kwa kulinda wananchi, najua ni wanajeshi au polisi wachache sana waliobaki wenye moyo wako. Mungu akujalie upate rejea nafuhu na kuwa mzima tena, and i hope JWTZ litakutambua kwa ushupavu uliofanya. Ubarikiwe sana PC Prosper

    Mdau MJ
    India

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...