Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania,Sabasaba Moshingi akizungumza kwa msisitizo usiku huu wakati Benki hiyo ilipoandaa hafla fupi ya chakula cha jioni kwa ajili ya Wahariri wa Vyombo mbali mbali vya Habari hapa nchini,iliyofanyika katika Hotel JB Belmont,Benjamini Mkapa Tower jijini Dar usiku huu.
Meneja Uhusiano wa Benki ya Posta Tanzania,Noves Moses akitoa muongozo wa hafla hiyo iliyofanyika usiku huu katika hoteli ya JB Belmont,Benjamin Mkapa Tower,jijini Dar.
Bosi wa Radio One,Deogratius Rweyunga akizungumza na kutoa shukrani kwa Wadau wa Benki ya Posta Tanzania ambao wameandaa hafla fupi ya chakula cha jioni kwa ajili ya Wahariri wa Vyombo mbali mbali vya Habari hapa nchini.
Mtangazaji wa Star TV,Barhan Muhuza nae akizungumza katika hafla hiyo.
Baadhi ya Mabosi wa Benki ya Posta Tanzania wakiwa katika hafla hiyo ya chakula cha jioni.
Baadhi ya Wahariri wa Vyombo Mbali mbali vya Habari wakiwa katika hafla hiyo ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki ya Posta Tanzania.
Naona wadau wamekaa mkao wa kula lakini chakula hakuna.
ReplyDelete