Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kinachohitajika zaidi si rambirambi bali busara na kupenda kufuata sheria, taratibu, maelekezo, miongozo (pasi na shuruti) ktk utendaji wetu wabongo. Mambo yetu ovyo ovyo kila pahala. Mathalan, wasafiri wengi hawafungi mikanda (safety belts). Waendeshao vipando nao hawavai kofia ngumu. Wapambanaji hawavai mipira ya kinga lakini kila mtu asema kazi ya Mungu, mara ngapi utakuta dereva anaendesha akiwa amepakata mtoto. Nasi kazi (wajibu) wetu je? sisi ni wazembe mno kila idara.Baada ya huu msiba tupate hesabu na mchango wa kitengo cha maafa serikalini isiwe kufa kufaana.
ReplyDelete