Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mwenye duka nakupa BIG UP saaaana. Nimekuwa nawashauri wengine kuwa wekeni bei jamani. Niko nje ya nchi lakini ntakuwa huko soon. Lazima nikuungishe.

    Umefanya vizuri kuweka bei ili mtu usiogope bure au kama huna ela ujipange. Safi sana. Nina hakika utapiga bao; na nadhani wewe umesomea biashara!

    ReplyDelete
  2. safi sana napenda biashara kama hizo ukiwa na duka au biahsra yako lazima uwe open sio mambo ya bei kapuni

    ukiona mtu anatangaza kitu chake kuuza na bei kaweka kapuni ujuwe huyo ni muuzaji wa kizuruma maana hana bei maalumu anaangalia ukiingia kichwa kichwa anakugonga

    big up keep it for real

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...