Huu ni usafiri Boda boda (pikipiki) ambao umekuwa ni usafiri unaopendwa na watu wengi sana hapa nchini siku hizi kutokana na gharama zake kuwa za chini na kufika haraka mahala husika kutokana na kutokaa kwenye foleni za barabarani.na hii ni moja ya namna ya upakiaji wa abiria na mizigo kwa wakati mmoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...