Wakati wazamiaji (hawaonekani pichani) wakiwa chini ya bahari wakisaidia kuvuta gari ikiwa katika kiwango cha mita tisa na kuisogeza karibu ya ufukwe. Hakuna mtu aliyepata madhara ya aina yoyote. |
Wananchi wa mkoani wakisaidia kulivuta gari aina ya canter iliyozama katika gati ya mkoani ilipokua ikitaka kushusha marobota ya mwani kisiwani Pemba. Picha na mdau Nafisa Madai
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...