MBUNGE wa viti maalumu mkoa wa Mbeya (CCM), Dk.Mary Mwanjelwa akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Ileje,Mh. Aliko Kibona, wakati wa ziara yake ya kikazi wilayani humo, ambapo alitoa msaada wa magodoro 60 kwa hospitali ya wilaya hiyo.
MBUNGE wa viti maalumu mkoa wa Mbeya, Dk.Mary Mwanjelwa (wa pili kushoto), akisalimiana na baadhi ya wana-CCM wilaya ya Ileje.
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dk.Mary Mwanjelwa, akivishwa skafu na vijana wa Skauti wilaya ya Ileje, alipowasili katika shule ya sekondari Ndola, ambapo alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya pili ya wahitimu wa kidato cha nne.
MBUNGE wa viti maalumu mkoa wa Mbeya (CCM), Dk.Mary Mwanjelwa, akitoa cheti kwa mmoja wa wanafunzi wa sekondari ya Ndola, iliyopo wilayani Ileje, wakati wa mahafali ya pili tangu kuanzishwa kwa sekondari hiyo ya kata.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...