Ofisa Udhamini wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude akiwa na mke wake Rahma Othman Mohammed katika pozi la picha wakati wa sherehe ya kuwapongeza mara baada ya kumeremeta katika msikiti wa  Al-Masjid Daarul-hud uliopo Kigurunyembe mkoani Morogoro hivi karibuni.hafla hii ilifanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam  
Mwenzagu Pokea pete hii iwe ishara ya upendo wangu kwako na uaminifu wangu kwao. Ndivyo inavyoonekana Rahma akisema wakati alipokuwa akimvisha pete ya ndoa mume wake Ibrahim Kaude wakati wa ibada ya ndoo iliyofanyika Kigurunyembe mkoani Morogoro hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mabruk maharusi!!

    ReplyDelete
  2. Natoa pongezi zangu kwa maharusi na Kumwomba Muumba awape kila la heri na furaha. Amin.

    ReplyDelete
  3. Harusi imetulia,hongereni.Halafu kwa upande wa bwana harusi nimegundua una problem ya vipele baada ya kunyoa ndevu,hii ni problem nilikuwa nayo muda mrefu,lakini nilipokuja holiday marekani mwenyeji wangu aliniintroduce na dawa moja inaitwa 'BUMP STOPPER' huwezi kuamini,vitakuwa history kwako.unaweza check internet kabla ya kuagiza.
    Shukrani
    Mdau Mzalendo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...