Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye makazi yake Gombani Zanzibar Septemba 12, 2011. Mheshimiwa Pinda alikwenda kumpa pole kuafuatia ajali ya meli iliyozama na kusababisha vifo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Seif Idd (kushoto) Mjini Zanzibar, Septemba 12, 2011. Mheshimiwa Pinda alikwenda kumpa pole kuafuatia ajali ya meli iliyozama na kusababisha vifo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HEADING SIO SAHIHI,NI MH PINDA AKUTANA NA DR.SHEIN KWA KUWA DR.SHEIN NI MWENYE MAKAZ NI SAWA NA MATHAYO 9.9 NAYE YESU ALIPOKUA AKIPITA FORODHANI ALIMUONA MTU AMEKETI FORODHANI AITWAYE MATAYO,NA SIO MATHAYO ALIMUONA YESU
ReplyDelete