Rambi rambi hizi ziwafikie wale wote walioathirika kutokana na ajali hiyo,waliopoteza ndugu,jamaa na marafiki na wananchi wote pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).
Mwenyezi Mungu azilaze roho za Marehemu Mahali Pema Peponi,na awajaalie majeruhi wapone haraka na atujaalie subira wananchi wote kutokana na janga hili la Kitaifa.
Amin.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...