Hivi ndivyo bango kubwa la matangazo lililoko juu ya ukuta wa makao makuu ya Soko la Hisa la NASDAQ katika barabara ya 4 eneo la Times Square jijini New York, Marekani, lilivyosomeka saa 12 jioni siku ya Jumatano Septemba 21, 2011 wakati Rais Jakaya Kikwete alipoalikwa hapo kupiga kengele ya kushairia mwisho wa shughuli kwa siku hiyo, ambapo pia alihudhuria mjadala kuhusu umuhimu ushirikiano wa karibu kati ya taasisi za umma na za binafsi katika masuala ya afya ya mwanamke.
Kwa mapicha zaidi ya shughuli za rais akiwa Marekani kuhudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa jijini New York:
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...