Mratibu wa kampeni za CCM Igunga, Mwigulu Nchemba akihutubia maelfu ya watu, kijiji cha Mwanzugi Kata ya Igunga Vijijini jana
Shamrashamra na hoihoi zikirindima katika viwanja vya soko la Mwanzugi Kata ya Igunga Vijijini, baada ya mgombea ubunge wa CCM, Dk. Dalaly Kafumu kuhutubia mkutano wa kampeni na Khadija Kopa wa TOT akihamasisha kwenye mkutano wa CCM eneo la Mwanzugi Kata ya Igunga Vijijini.
Mgombea wa CCM Dk. Kafumu akiwaaga baadhi ya wananchi baada ya mkutano huo wa Mwanzugi.
Maelfu ya watu wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM eneo la Mwanzugi, Kata ya Igunga Vijijini, jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kweli ukipata nafasi itumie maana hiyo ccm ni kama bomba la kuleta hela ukiingia humo ujuwe hela unazipata tu jamaa kavaa kijani suruali shati yani kapiga full kweli kwenye ulaji utafanya chochote ili usikose huo ulaji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...