Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akifungua kliniki ya mama na mtoto katika kituo cha afya cha kanisa Katoliki jimbo la Musoma cha Masanga wilayani Tarime wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Sister Maria wakati alipowasili kwenye misheni ya Kanisa katoliki ya Masanga wilayani Tarime akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara.
Wasanii wa Tarime wakicheza ngoma maarufu ya Eritungu wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara katika Misheni ya kanisa Katoliki ya Masanga akiwa katika zaira ya mkoa wa Mara, jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...