Dear Bw. Issa,
Assalaam Alaykum,
Tunakuarifuni wanawake wote Khitma ya ndugu zetu waliokufa kwenye meli ya Zanzibar itakayofanyika kwenye viwanja vya Karimjee saa kumi jioni siku ya Ijumaa tarehe 16 September, tafadhali muarifu mwenzio.
Ahsante sana

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...