Wachezaji wa Polisi Dodoma wakisalimia na wachezaji wa Simba.
Mchezaji wa timu ya Simba Ulimboka Mwakingwe (shoto) akiwa ameanguka chini wakati wa kuwania mpira na beki wa Polisi Dom, Elias Maftah katika mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom uliochezwa leo kwenye uwanja wa Azam,uliopo Chamazi jijini Dar.Simba imeshinda 1-0.
Uhuru Selemani wa Simba (shoto) akiruka daruga la beki wa Polisi Dom, Nassor Mhagama.
Mshambuliaji wa Simba, Uhuru Seleman (kushoto) akichuana na beki wa Polis Dodoma, Nassor Mhagama katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara leo huko Chamazi,Simba imeshinda 1-0.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...