Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, ulifungua kitambu cha rambirambi kufuatia ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Spice Islander. Mabalozi wengi wanaoziwakilisha nchi zao katika Umoja wa Mataifa, wameungana na watanzania katika kipindi hiki cha majonzi kwa kusaini kitabu cha maombolezo. Zifuatano ni baadhi tu ya picha za tukio hilo.
Mhe. Paulette Bethel Balozi wa Bahamas Katika Umoja wa Mataifa.
Bw. Mazen Adi,Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Syria Umoja wa Mataifa
Bw. Hajji Khamisi, Mwenyekiti wa Jumuia ya Watanzania New York
Mhe. Sophia . Nyamudeza, Naibu Balozi, Ubalozi wa Zimbabwe Umoja wa Mataifa
Mhe. Josephine Ojiambo, Naibu Balozi wa Kenya Umoja wa Mataifa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...