Asalamu alaykum
Wadua wa Oostende belgium beach tunatoa salamu za rambirambi kwa ajali ya meli iliyotokea visiwani zanzibar ya mv spices islanders tunawapa pole kila aliyefikwa na janga hili
Tunawaombea majeruhi wapone haraka na wale wote waliopoteza maisha mungu azilaze roho zao mahali pema peponi - Amin
Na wafiwa mungu awape subra katika kipindi hiki kigumu cha msiba - Amin
OOSTENDE ,
BELGIUM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...