Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Nyimbo nzuri lakini libeneke silo!!

    ReplyDelete
  2. Very nice
    Nilisoma kitabu cha historia ya Congo, sifikiri kama kuna nchi iliyodhulumiwa na wakoloni kama Kongo.Pia wakoloni waliwatesa sana hao jamaa walipogoma kudhulumiwa. Katika kukusanya maziwa ya miti ya mipira walikuwa wakiwakusanya vijana kutoka vijijini,wafanyishwa kazi kwa mshahara wa ushanga. Wakitoroka wanasakwa na wakikamatwa jamaa wajifanya mangariba na kuwakata majongoo

    ReplyDelete
  3. Yaa, katika hali ya sasa ya Congo DRC hawana budi kumchagua tena Joseph Kabila ili amani, umoja, mshikamano na maendeleo yanayo oneka Congo yazidi kudumu...
    ni mtizamo wangu...

    ReplyDelete
  4. Yaa, katika hali ya sasa ya Congo DRC hawana budi kumchagua tena Joseph Kabila ili amani, umoja, mshikamano na maendeleo yanayo oneka Congo yazidi kudumu...
    ni mtizamo wangu...

    ReplyDelete
  5. nyimbo nzuri ,
    lakini hile santuri ya rais Jakaya Kikwete walejamaa waliopiga ule muziki
    ni wakorofi wa muziki,wao na mdundo wao walihamua kufanya kweli lakini sijui kama walipewa hata asante kutoka sisihemu

    ReplyDelete
  6. doh! huu muziki ni wa kistaraabu mno,tena umetulia kiutu uzima,lakini wale wendazimu wetu waliocharaza cd ya J.K vijana wale ni vichaa wa muziki tena wachokozi sana

    ReplyDelete
  7. Hiyo ndio Jitegemee Sekondari v University of Dar es salaa,
    Digrii inapepeta, Jitegemee inachapa kazi lipi bora??!!

    ReplyDelete
  8. kwakweli joseph kabila anafaa. miaka michache tu iliyopita congo ilikuwa kichekesho cha africa. mabutu na watu wake waliiba kila kitu bila ya kujali maendeleo ya nchi yao. leo kabila anaibadilisha congo in development. congo hii ilikua inashika mkia lakini sasa wameweza kuwa na better mikataba na wawekezaji wa madini kuliko tanzania. kabila ni tough na akiona wawekezaji wanawaibia congo hachelewi kuvunja hiyo mikataba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...