Home
Unlabelled
mambo ya prezidaa joseph kabila
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nyimbo nzuri lakini libeneke silo!!
ReplyDeleteVery nice
ReplyDeleteNilisoma kitabu cha historia ya Congo, sifikiri kama kuna nchi iliyodhulumiwa na wakoloni kama Kongo.Pia wakoloni waliwatesa sana hao jamaa walipogoma kudhulumiwa. Katika kukusanya maziwa ya miti ya mipira walikuwa wakiwakusanya vijana kutoka vijijini,wafanyishwa kazi kwa mshahara wa ushanga. Wakitoroka wanasakwa na wakikamatwa jamaa wajifanya mangariba na kuwakata majongoo
Yaa, katika hali ya sasa ya Congo DRC hawana budi kumchagua tena Joseph Kabila ili amani, umoja, mshikamano na maendeleo yanayo oneka Congo yazidi kudumu...
ReplyDeleteni mtizamo wangu...
Yaa, katika hali ya sasa ya Congo DRC hawana budi kumchagua tena Joseph Kabila ili amani, umoja, mshikamano na maendeleo yanayo oneka Congo yazidi kudumu...
ReplyDeleteni mtizamo wangu...
nyimbo nzuri ,
ReplyDeletelakini hile santuri ya rais Jakaya Kikwete walejamaa waliopiga ule muziki
ni wakorofi wa muziki,wao na mdundo wao walihamua kufanya kweli lakini sijui kama walipewa hata asante kutoka sisihemu
doh! huu muziki ni wa kistaraabu mno,tena umetulia kiutu uzima,lakini wale wendazimu wetu waliocharaza cd ya J.K vijana wale ni vichaa wa muziki tena wachokozi sana
ReplyDeleteHiyo ndio Jitegemee Sekondari v University of Dar es salaa,
ReplyDeleteDigrii inapepeta, Jitegemee inachapa kazi lipi bora??!!
kwakweli joseph kabila anafaa. miaka michache tu iliyopita congo ilikuwa kichekesho cha africa. mabutu na watu wake waliiba kila kitu bila ya kujali maendeleo ya nchi yao. leo kabila anaibadilisha congo in development. congo hii ilikua inashika mkia lakini sasa wameweza kuwa na better mikataba na wawekezaji wa madini kuliko tanzania. kabila ni tough na akiona wawekezaji wanawaibia congo hachelewi kuvunja hiyo mikataba.
ReplyDelete