Mdau Shy Rose Bhanji akiwa vekesheni Zenji, katika kiota cha Sultan Palace katika kudumisha na kuhimiza utalii wa ndani kwa wananchi wa Tanzania. Anasema tuna vivutio vingi vya kitalii na si vibaya kwa mtu kuamua kutembelea na kuijionea mwenyewe tena kwa bei ya nyumbani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. picha nzuri. shyrose ame lose weight na anapendeza sana. keep it up my dear you look young and beautiful. this is what weight loss can do to people.

    ReplyDelete
  2. It's true mdau wa kwanza, she lost weight & look good. Keep it up shyrose!!

    ReplyDelete
  3. Jamani hicho kishort short hakiendani na huo mwili ingawa kapungua...duh

    ReplyDelete
  4. The candidate in the making!

    ReplyDelete
  5. Je alienda jamani pekee yake hiyo holiday?Mbona wa pili wake hatumuoni?mmm jamani ingependeza kuwepo hapo.

    ReplyDelete
  6. kweli amependeza sana na amepungua hata mimi nakubali

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  8. Shyrose hututendei haki. vekesheni na utalii wa ndani wanda peke yako? nilitaraji ungeenda hata pale dogodogo centre au kituo chochote cha kulelea watoto yatima ukachukua angalau vijanna watano au kumi. Wewe ni mwanajamii hivyo usituangushe tafadhali. Tunakutegemea 2015 uitumikie jamii

    ReplyDelete
  9. You Look stunning Inspector General Shy!

    ReplyDelete
  10. safi sana shy pumzika mwaya you are too blessed to be stressed!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...