Mkuu wa Mkoa Mpya wa Ruvuma, Said Mwambungu akisalimiana na mfanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Denis Kadungula, wakati wa mapokezi yake yaliyoandaliwa na Viongozi wa Serikali ya Wilaya alipowasili mjini hapa katika ukumbi wa JKT Nane Nane, baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete aliyemteua hivi karibuni kuwa RC wa Mkoa wa Ruvuma , Mwambungu alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro kwa muda wa zaidi ya miaka mitano tangu 2006.
Mkuu Mpya wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu akisalimiana na mfanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mwanahamisi Mtimaumo, wakati wa mapokezi yake yaliyoandaliwa na Viongozi wa Serikali ya Wilaya hiyo, alipowasili juzi mjini hapa katika ukumbi wa JKT Nane Nane , baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete aliyemteua hivi karibuni kuwa RC wa Mkoa wa Ruvuma , Mwambungu alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro kwa zaidi ya miaka mitano tangu 2006.Picha na John Nditi
Wajamani ebu nisaidieni huyo mama anayeonyesha huo ungo ana piga picha kwa kutumia huo ungo au kuna maana nyingine.
ReplyDeletekazi kweli kweli.
ReplyDelete