Juma Nature, akionesha vitu vyake wakati wa pambano la ngumi kati ya Francis Cheka na Mada Maugo, Septemba 2, mwaka huu
Mwanamasumbwi wa kike , Asha Abubakari ‘ a.ka Asha ngedere’ ( kulia) wa kutoka Jijini Dar es Salaam, akimsurubu bondia mwenzake Hamisa Wile kutoka Mkoa wa Morogoro, katika mchezo wa kirafiki wa utangulizi kabla ya pambano dhidi ya Francis Cheka ( SMG) na Mada Maugo,juzi mjini hapa.hata hivyo Kionga alishinda mchezo huo
Mwanamasumbwi wa kike , Asha Abubakari ‘ a.ka Asha ngedere’ ( kulia) wa Dar es Salaam, akimsurubu bondia mwenzake Hamisa Wile kutoka Morogoro, katika mchezo wa kirafiki wa utangulizi kabla ya pambano dhidi ya Francis Cheka ( SMG) na Mada Maugo, mjini Morogoro. Kionga alishinda mchezo huo
Bondia Francis Cheka (SMG) ( kulia) akirusha konde mpinzani wake , Mada Maugo , ( kushoto) wakati wa pambano lao la kirafiki la raudi 10 ilililofanyika juzi kwenye uwanja wa Jamhuri wa Mjini Morogoro, katika mchezo huo , Cheka alishinda kwa pointi.
Bondia Mada Maugo, akianguka chini baada ya kusukumizwa konde na Francis Cheka ( SMG) wakati wa pambano kali la kirafiki la raudi 10 ilililofanyika juzi kwenye uwanja wa Jamhuri wa Mjini Morogoro, katika mchezo huo , Cheka alishinda kwa pointi.
Mpambano ukiendelea
Mwamuzi wa Ernest Kavishe, akiwamua mabondia , Francis Cheka ( kushoto) na Mada Maugo ( kulia) katika pambano lao la kirafiki la raudi 10 ilililofanyika juzi kwenye uwanja wa Jamhuri wa Mjini Morogoro, katika mchezo huo , Cheka alishinda kwa pointi. Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro
Jamani mbona huo ulingo wa box ume expire hivyo ?
ReplyDeletemdau china