Baadhi ya Warembo wanaoshiriki Vodacom Miss Tanzania 2011,wakipita jukwaani kwenye maonyesho wa mavazi mbali mbali ya ubunifu wakati wa show ya Redd's Night Fashion yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee,jijini Dar es Salaam Usiku huu.
Home
Unlabelled
Redd's Fashion show yafana sana leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...