Msaizidi wa Mkuu wa Idara ya Watoto ya Hospitali ya mkoa wa Morogoro, Dk Limika Lyatuu,akimpima mwili na kifaa maalumu mtoto mchanga aliyelazwa wodi namba tatu ya watoto wachanga ,kufuatia mtoto huyo aliyepewa jila la Baraka kutupwa chooni na kuopolewa na wananchi wa Kata ya Kichangani, Manispaa ya Morogoro kwa kushirikiana na Askari Polisi,kama alivyokutwa jana wodini hapo.
Msaizidi wa Mkuu wa Idara ya Watoto ya Hospitali hiyo, Dk Limika Lyatuu,akimwangalia mtoto mchanga aliyelazwa wodi namba tatu ya watoto wachanga ,kufuatia mtoto huyo aliyepewa jila la Baraka kutupwa chooni na kuopolewa na wananchi wa Kata ya Kichangani, Manispaa ya Morogoro kwa kushirikiana na Askari Polisi,kama alivyokutwa jana wodini hapo.Picha na John Nditi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Poor baby, may God give you the strength to stand the news of what your mother did to you when the time comes. Pole sana katoto.

    ReplyDelete
  2. GOOD WORK DR LYATUU. NJOO UGHAIBUNI UFANYE KAZI DADA. NTATUMA LINK SOON. JIBU UJUMBE HUU NDANI BLOG KAMA UPO WILLING TO MOVE OUT. CHEERS VERY MUCH.

    ReplyDelete
  3. Jamani namwomba huyu mtoto, watu tunatafuta watoto wengine wanawatupa chooni? hii si sawa

    ReplyDelete
  4. Kwani mtu akifanya kazi nzuri ni lazima ni lazima aende ughaibuni,inatakiwa atuhudumie sisi wazawa sio hao mabwanyenye unaowahusudu.shame on you

    ReplyDelete
  5. Huo ni unyama, ushetani na umasikini wa akili. Jamani dada zetu kuweni na hofu ya Mungu, kwanini mnawatupa watoto? Kama hamtaki kuzaa basi ACHENI NGONO ZEMBE. Inasikitisha sana kwa mtoto asiye na hatia anatupwa chooni.

    ReplyDelete
  6. Mnaishia kumlaani aliyetupa mtoto....aliyetia mbegu yake na kukimbia wala hatajwi.....Give us brake!

    ReplyDelete
  7. Jamani tumwogope na tumuheshimu MUNGU, hivi kweli umetunza mimba miezi tisa leo hii unatupa mtoto!!!, kwa nini binadamu sasa hivi tumekuwa wanyama hivi!!!namuombea kwa Mungu huyo mtoto atakuwa vizuri na Mungu atamuonesha njia ya kupita, ROHO inauma sana

    ReplyDelete
  8. Haya ni matokeo ya kupunguwa kwa Maadili katika jamii. Hapa asilaumiwe mama wala baba. Watu tutasema sana, lakini Mwenyezi Mungu ndiye mwenye hukumu ya haki.

    ReplyDelete
  9. MTOTO AITWE MV SPICE. MANAKE AMEZALIWA SIKU MOJA NA MSIBA WA MV SPICE.

    ReplyDelete
  10. Nawasihi manesi na wauguzi muendelee kumhudumia kachanga kwa moyo wenu wote na vile vile nawapongeza wote walioshiriki kuokoa maisha ya kachanga hako ambako hakana hatia. Pili ningalipenda kuwaasa watanzania wenzangu kujali uhai kwani uhai ni tunu ya kimungu hakuna awaye yote yule mwenye mamlaka yakutoa uhai wa mwingine Mungu ambariki mtoto ili aendelee kukua katika nguvu na mpatie mtoto afya na amani. Msikate tamaa wakati mkiwa mnahudumia hako kachanga Mungu awabariki nyote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...