Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shillingi millioni 20 kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii benki ya NMB, Shy-Rose Bhanji, ikiwa ni msaada wa benki ya NMB kufuatia maafa ya kitaifa zanzibar.Kushoto ni Meneja wa NMB tawi Zanzibar.
Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia mfano wa hundi yenye thamani ya shillingi millioni 20 aliyokabidhiwa kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii benki ya NMB, Shy-Rose Bhanji (kulia) ikiwa ni msaada wa benki ya NMB kufuatia maafa ya kitaifa yaliyotokea zanzibar hivi karibuni.Kushoto ni Meneja wa NMB tawi Zanzibar..
Maafisa wa NMB wakiteta jambo na Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi baada ya makabidhano.
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano benki ya NMB, Shy-Rose Bhanji akitia saini kitabu cha maombolezo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Reginald Mengi.. Milioni 40
    NMB Bank.. Milioni 20

    Mengi Oyee..!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...