Habari za majukumu mzee wa libeneke,

Ninaomba kuwatangazia watanzania wenzangu kuwa kuna Scholarship za masomo zinatolewa kwa mataifa mbali mbali,kwa hiyo watangazie na watanzania wenzangu ambao wangependa wajaribu bahati zao,Kuna kozi tofauti tofauti za Undergraduate na Masters Degree.

Nadhani hii pia ni nafasi hata kwa vijana ambao hawakubahatika kupata mikopo ili kuendelea na masomo yao.

Kwa maelezo zaidi wanaweza kuona kwenye website hii ya chuo au wawasiliane kwa email katika anwani zifuatazo;

Email: jenock@iuhs-edu.net.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...