Rais Koroma na Makamu wake MH. Sam Sumanah,.katika uzinduzi wa miradi ya UNOPS ” Security Sector Reform”

Ndg Omary Mjenga akiwa na Waziri wa Ulinzi wa Sierra Leone Paulo Conteh katika uzinduzi wa moja ya miradi inayosimamiwa na UNOPS, iliozinduliwa leo na Rais wa Sierra Leone Mh Ernest Bai Koroma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. KAZI NJEMA, USICHOKE. MWENDO NI KWENDA MBELEEE.

    MAINA ANG'IELA OWINO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...