Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mheshimiwa Bernard Membe (kulia) akizungumza na mwakilishi wa Serikali ya Australia Bwana Leslie Rowe alipokutana nae leo ofisini kwake. Miongoni mwa mambo waliyozungumzia ni maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Madola unaotarajiwa kufanyika mjini Perth, Australia mwishoni mwa mwezi Oktoba (picha na Mindi Kasiga - Mambo ya Nje).
Home
Unlabelled
Waziri Membe afanya mazungumzo na Mwakilishi wa Serikali ya Australia Leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...