Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua jengo la Bweni la wanafunzi walemavu katika shule ya Msingi ya Mwisenge Mjini Musoma akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 17,2011.Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Musoma Mjini Geofrey Ngatuni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi walemavu baada ya kufungua bweni lao kwenye shule ya Msingi ya MWisenge Mjini Musoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua daftari la mahudhurio katika kipindi ambapo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alipokuwa akisoma. Mheshimiwa Pinda alikuwa katika darasa alilosoma Mwalimu Nyerere kwenye shule ya Msingi ya Mwisenge baada ya kufungua bweni la wanafunzi walemavu kwenye shule hiyo Septemba 17,2011.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mjini, Geofrey Ngatuni
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wanafunzi walemavu shule ya Msingi ya Mwisenge Mjini Musoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama baadhi ya khanga na vitenge vinavyotengenezwa katika kiwanda cha nguo cha Musoma MUTEX wakati alipotembelea kiwanda hicho Septemba 17,2011. Kushoto ni Mkurugwnzi wa kiwanda hicho, Gulam Dewji. Picha na mdau Hilary Bujiku wa PMO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...