As salaam A leykum
Tunapenda kutoa salam zetu za pole kwa ndugu zetu waliopo nyumbani Tanzania kwa kupotelewa /kufiwa/kujeruhiwa familia zao kwa ajali kubwa ya kuzama kwa meli ilosababishwa kwa kuzama kivuko cha Islander.
tunapenda kujinga na wenzetu huko nyumbani ktk msiba huu na kumwomba M/Mungu azipokee dua zetu na awaepushe na adhabu ya kaburi na moto wote waliotangulia mbele za haki kwani sote tu njia moja.
Inna lillah Wainna illah Raj'un
R.Simba(M/KITI UWTCCM-MOSCOW)
Kwa niaba ya Umoja wa wanawake ccm-Moscow
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...