Jumuiya ya watanzania wa Ireland na vitongoji vyake wote kwa ujumla. Tumepokea kwa Masikitiko makubwa kuhusiana na Ajali ya Spice island iliyotokea huko Nughwi iliyokuwa ikielekea Pemba.

Tunaungana na Watanzania wote wa bara na Visiwani kutokana na msiba huu Mkubwa.

Mumgu awatie nguvu wale wote waliopoteza ndugu zao,na waliopo mahospitalini awape Uponyaji na uzima.Tunawapa pole sana wafiwa wote, na tupo nanyi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.

Mungu awalaze wote waliopeteza maisha yao Mahali pema Peponi

Mungu Ibariki Tanzania na Watu Wake na Amani wakati wote.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...