Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman (aliokaa katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wakiwemo Majaji, Mahakimu, Mawakili na wadau wengineo katika semina ya kujadili ripoti ya mwisho ya mfumo mbadala wa utatuzi wa migogoro (Alternative Dispute Resolution) (ADR) aliofanyika jijini Dar es Salaam jana. (Picha na MARY GWERA, MAHAKAMA YA TANZANIA)
Home
Unlabelled
semina ya kujadili ripoti ya mwisho ya mfumo mbadala wa utatuzi wa migogoro yafanyika jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
safi sana Altenative Dispute Resolutionsafi sana Altenative Dispute Resolution
ReplyDelete